Tumia misemo hii katika sentensi:kutia chumvi,kula kiapo,kupiga mbizi,kutia nanga,kuona haya?

 1. 👍
 2. 👎
 3. 👁
 4. ℹ️
 5. 🚩
 1. Andika misemo mingine inayotumia vitenzi vifuatayo:Kutaka,kwenda, kupiga, kutia,kutoa,kufanya, kula, kuona?

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 2. Fafanua maana ya maneno yaliyoandikwa kwa herufi za mlazo:kuanika nguo,aliyeitwa,aliyepewa,alikumbuka,aliyekwea

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 3. Andika misemo mingine inayotumia vitenzi vifuatayo:Kutaka,kwenda, kupiga, kutia,kutoa,kufanya, kula, kuona.
  Kwani majibu hayapo

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 4. 1. Ninapika ugali, natakiwa nitie chumvi kidogo tu.
  2. Wakati wa kuapishwa, alikula kiapo cha kumtii rais.
  3. Wakati wa likizo yangu, niliamua kupiga mbizi kwenye bahari ya Hindi.
  4. Meli ilipofika bandarini, marubani walitulia na kutia nanga.
  5. Yule mtoto alijisikia aibu sana na kuona haya alipolisikia jina lake likitajwa mbele ya umati wa watu.

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩

Jina

Jibu