Mifano ya misemo ya kutumia tia
Bainisha sentensi ifuatayo iwe mazoea Kwa kutumia kirejeshi `o' Mtoto anayelia huchapwa
Eleza maana ya Vivugo na matambiko
Eleza maana ya misemo ifuatwayo a)giza la ukata..... b)meza mate machungu
Eleza maana zinazojitokeza katika mafungu yafuatayo; 1.Jambazi kutoka duniani liliiba 2.liliiba jambazi kutoka duniani 3.kutoka duniani jambazi liliiba 4.jambazi liliiba kutoka duniani.