Eleza maana ya misemo ifuatwayo a)giza la ukata..... b)meza mate machungu

 1. 👍
 2. 👎
 3. 👁
 4. ℹ️
 5. 🚩
 1. meza mate machungu ni kupata tabu. giza la ukata ni kuwa maskini bila matumaini.

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 2. Kupata tabu

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 3. Meza mate Machungu ni kupata taabu Giza la ukata ni hali ya umaskini mkubwa

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 4. Naomi jemutai

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 5. Kumeza mate Machungu ni kuvumilia shida

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 6. Doreen

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 7. Meza mate machungu ni kuvumilia jambo lisilokuridhisha

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 8. Meza mate machungu ni kupata matatizo au dhiki.

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 9. Meza mate machungu ni kupata matatizo au dhiki.
  Giza la ukata ni kutokuwa na mbele wala nyuma.

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 10. Giza la ukuta kuwa maskini na meza mate machungu kupata tabu au shida

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 11. Meza mate machungu ni kupata shida katika jambo Fulani bila kufikiria

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 12. Meza mate

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 13. Mtoto aliaye huchapwa

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 14. Meza mate machungu , kuwa na subira
  Giza la ukata , kuwa maskini

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 15. Kupata shida

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 16. Mezea mate

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 17. Kutamani kitu

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 18. Giza la ukuta ..... Kuwa maskini

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 19. Kumeza mate machungu ni kuvumilia shifa Fulani kwa muda Fulani

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩

Jina

Jibu