Eleza maana ya Vivugo na matambiko
Maana ya neno kisabuni kama nomino
Tunga sentensi ukitumia neno kisabuni kama nomino
Tunga sentensi ukitumia neno kisabuni kama nomino na kielezi
Eleza maana ya misemo ifuatwayo a)giza la ukata..... b)meza mate machungu
Eleza maana zinazojitokeza katika mafungu yafuatayo; 1.Jambazi kutoka duniani liliiba 2.liliiba jambazi kutoka duniani 3.kutoka duniani jambazi liliiba 4.jambazi liliiba kutoka duniani.