Jaza neno ambalo ni kinyume cha lile lililopigwa mstari katika sentensi; (i) Vile vitu ulivyovichanganya itakubidi (ii) Bomba hili limeziba mwite fundi aweze
Katika misemo tia fora inamaanisha nini
Ni nini maana ya misemo ufuatayo; kuonea wivu,kutia makali?
Kutia moyo Kutia fora Kupiga jeki Kupiga debe
Kutia chuku
Kutia makali
Topasi iko katika ngeli ngani
Ugoro,Chai,Kata,Ubavu na Kutaulu ziko katika ngeli gani?
Aina za sentensi za kiswahili
tunga sentensi ukitumia kisabuni kama kielezi