Ugoro,Chai,Kata,Ubavu na Kutaulu ziko katika ngeli gani?
Katika misemo tia fora inamaanisha nini
Jaza neno ambalo ni kinyume cha lile lililopigwa mstari katika sentensi; (i) Vile vitu ulivyovichanganya itakubidi (ii) Bomba hili limeziba mwite fundi aweze
Eleza maana zinazojitokeza katika mafungu yafuatayo; 1.Jambazi kutoka duniani liliiba 2.liliiba jambazi kutoka duniani 3.kutoka duniani jambazi liliiba 4.jambazi liliiba kutoka duniani.