Lugha ni nini

 1. 👍
 2. 👎
 3. 👁
 4. ℹ️
 5. 🚩
 1. Lugha ni mifumo ya ishara, sauti, au maandishi ambayo yanatumiwa na watu kwa ajili ya kuwasiliana au kujieleza. Lugha inaweza kuwa ya kuzungumzwa, ya kuandikwa au ya ishara na inatumika katika mawasiliano ya kila siku, kielimu, kibiashara na kijamii.

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩

Jina

Jibu