tunga sentensi ukitumia kisabuni kama kielezi
Tunga sentensi ukitumia neno kisabuni kama nomino
Maana mbili za sentensi hii: Mama alimlimia mwanawe shamba.
Tunga sentensi ukitumia neno kisabuni kama nomino na kielezi
Bainisha sentensi ifuatayo iwe mazoea Kwa kutumia kirejeshi `o' Mtoto anayelia huchapwa
Jaza neno ambalo ni kinyume cha lile lililopigwa mstari katika sentensi; (i) Vile vitu ulivyovichanganya itakubidi (ii) Bomba hili limeziba mwite fundi aweze