KISWAHILI

Eleza maana ya misemo ifuatwayo a)giza la ukata..... b)meza mate machungu

 1. 👍
 2. 👎
 3. 👁
 4. ℹ️
 5. 🚩
 1. meza mate machungu ni kupata tabu. giza la ukata ni kuwa maskini bila matumaini.

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 2. Kupata tabu

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 3. Meza mate Machungu ni kupata taabu Giza la ukata ni hali ya umaskini mkubwa

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 4. Naomi jemutai

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 5. Kumeza mate Machungu ni kuvumilia shida

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 6. Doreen

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 7. Meza mate machungu ni kuvumilia jambo lisilokuridhisha

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 8. Meza mate machungu ni kupata matatizo au dhiki.

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 9. Meza mate machungu ni kupata matatizo au dhiki.
  Giza la ukata ni kutokuwa na mbele wala nyuma.

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 10. Giza la ukuta kuwa maskini na meza mate machungu kupata tabu au shida

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 11. Meza mate machungu ni kupata shida katika jambo Fulani bila kufikiria

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩
 12. Meza mate

  1. 👍
  2. 👎
  3. ℹ️
  4. 🚩

Jibu swali hili

Jina la kwanza

jibu lako

Similar Questions

 1. kiswahili

  Katika misemo tia fora inamaanisha nini

 2. kiswahili

  Andika maana ya misemo hii: a)nyama ya ulimi b)ulimweka mbele c)kupiga bongo d)ndumakuwili e)kufaana kwa la jua na la mvua.

 3. Kiswahili

  Eleza maana ya Vivugo na matambiko

 4. kiswahili

  misemo na maana zake

 5. kiswahili

  Andika maana ya misemo hii: a)nyama ya ulimi b)ulimweka mbele c)kupiga bongo d)ndumakuwili e)kufaana kwa la jua na la mvua

 6. kiswahili kinyarwanda english

  maana ya kunyonga nguvu

 7. kiswahi

  maana ya misemo

 8. KISWAHILI

  ANDIKA MAANA YA MISEMO HII : (A) NYAMA YA ULIMI ( B) ULIMWEKA MBELE ( C) KUPIGA BONGO ( D) NDUMAKUWILI ( E) KUFAANA KWA LA JUA NA LA MVUA

 9. kiswahili

  nini maana ya kumpa mtu nyama ya ulimi xD

 10. Kiswahili

  Maana ya misemo Giza la ukata na meza mate machungu

 11. Kiswahili

  Maana ya neno ukata

 12. Kiswahili

  Eleza maana zinazojitokeza katika mafungu yafuatayo; 1.Jambazi kutoka duniani liliiba 2.liliiba jambazi kutoka duniani 3.kutoka duniani jambazi liliiba 4.jambazi liliiba kutoka duniani.

Ask a new question or view more similar questions.